112 - Surat Al-Ikhlas ()

|

(1) Sema: Yeye Mwenyezi Mungu ni wa Pekee.

(2) Mwenyezi Mungu Mkusudiwa.

(3) Hakuzaa wala hakuzaliwa.

(4) Wala hana anayelingana naye hata mmoja.