(1) Je! Umemwona anayekadhibisha Malipo?
(2) Huyo ndiye anayemsukuma yatima.
(3) Wala hahimizi kumlisha masikini.
(4) Basi, ole wao wanaoswali.
(5) Ambao wanapuuza Swala zao.
(6) Ambao wanajionyesha.
(7) Na wanazuia msaada.