(1) Sema: Enyi makafiri!
(2) Siabudu mnachokiabudu;
(3) ala nyinyi hamuabudu ninayemuabudu.
(4) ala sitaabudu mnachoabudu.
(5) Wala nyinyi hamuabudu ninayemuabudu.
(6) Nyinyi mna dini yenu, nami nina Dini yangu.